NDC, Wizara ya Afya kuangamiza Malaria, Dengue

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amefanya kikao kazi na Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC) pamoja na Kiwanda cha kuzalisha viuadudu viangamizavyo viluwiluwi vya mbu (TBPL) kwa ajili ya kuangamiza maambukizi ya ugonjwa wa Malaria pamona na Dengue, jijini Dodoma.