Uzinduzi wa Uuzaji Trekta za URSUS mkoa wa Mwanza:

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Ndg John Mongella

Picture 1 of 5

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Ndg John Mongella wakati wa Uzinduzi wa Uuzaji wa Trekta za URSUS mkoa wa Mwanza katika eneo la Nyanza Bottles tarehe mapema Leo (16.08.2018). Uzinduzi uhudhuliwa na wakuu wa wilaya na maafisa Kilimo wilaya zote za Mwanza pamoja na wadau wa kilimo wakiwemo viongozi wa AMCOS