Uzinduzi wa Uuzaji Trekta za URSUS mkoa wa Mwanza:

Nunua Trekta kwa Mkopo wa TPDB

Picture 2 of 5

Nunua Trekta kwa Mkopo wa TPDB: Mwakilishi wa TADB banki Bw Steven Kang'ombe akitoa maelezo ya namna ya kupata mikopo ya ununuzi wa Trekta za URSUS wakati wa uzinduzi wa uuzaji Trekta za URSUS mkoa wa Mwanza