Bei ya Matrekta na Zana zake

Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC) kupitia mradi wake wa kuunganisha matreka kutoka Poland umeanza kuuza matreka kwa bei nafuu kwa lengo la kuwainua wakulima na kukuza uzalishaji wa mazao.

Matrekta hayo yapo ya uwezo tofuati, kuanzia ya Horse Power 50 hadi Horse Power 85, 2WD na 4WD. Bei ni ndogo kuanzia milioni 38.32 tu