Biolarvicides

KIADUDU CHA BACTIVEC - MATUMIZI

Weka matone 20 (sawa na Mil 1) kwa lita 50 za maji au weka chupa moja kwa ujazo wa lita 1500 za maji.

WEKA KWENYE:

 1. Matanki ya maji, visima
 2. Makalo
 3. Maeneno ya maji yaliyotuama
 4. Vyombo vya kuhifadhia maji kwa matumizi ya nyumbani

KIADUDU CHA GRISELESF - MATUMIZI:

Kwa kila mita moja ya mraba nyunyuzia 5 mls za viuadudu, zingatia dozi hii inaweza kubadilika na kuwa 10 mls kwa kila mita moja za mraba, kulingana na wingi wa mazalia ya mbu na uchafu wa maji husika.

WEKA KWENYE:

 1. Maji yaliyotuama
 2. Maji machafu
 3. Mabwawa ya samaki
 4. mashimo ya vyoo na maji taka
 5. Vidimbwi vilivyo sababishwa na kwato za wanyama
 6. Madimbwi ya mvua
 7. Mito
 8. Mifereji
 9. Mabwawa
 10. Mashamba ya mpunga

GRISELESF BIOLARVICID - USES:

Apply 5 mls of Biolarvicides per square meter. This can change depending on larva density and water viscosity in a particular breeding site.

WHERE TO APPLY:

 1. Stagnant water
 2. Fish ponds
 3. Canal
 4. Spring Water
 5. Ponds
 6. Rice Farms