ENDELEZA WAZO LAKO BUNIFU NA NDC

Je, Unafahamu kuwa, Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC) linaendesha atamizi ya vijana wenye mawazo bunifu kwenye Sekta ya Viwanda, lengo likiwa ni kuwainua wazalishaji wa ndani ili wanufaike na rasilimali za nchi.