NDC YASHIRIKI UZINDUZI WA DAWA YA KUTOKOMEZA KISUKARI
Mkurugenzi Mwendeshaji wa Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC), Dkt. Nicolaus Shombe amezindua dawa ya kupambana na ugonjwa wa kisukari, inayozalishwa na kiwanda cha Labiofam cha nchini Cuba. Hafla hiyo imefanyika wakati wa Maonesho ya 40 ya Biashara ya Kimataifa ya Havana – Cuba yanayofanyika kwa siku 4, kuanzia tarehe 4 mpaka 9 Novemba, 2024. […]
NDC YASHIRIKI UZINDUZI WA DAWA YA KUTOKOMEZA KISUKARI Read More »