Mkurugenzi Mtendaji wa NDC awasilisha Miradi Mikubwa ya Maendeleo kwa Kamati ya Bunge
Mkurugenzi Mwendeshaji wa Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC), Dkt. Nicolaus Shombe, amewasilisha taarifa ya kina ya majukumu, muundo wa shirika pamoja na utekelezaji wa miradi mikubwa ya kimkakati ya kitaifa mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Mifugo na Kilimo, katika kikao kilichofanyika jijini Dodoma. Akiwasilisha taarifa hiyo, Dkt. Shombe alieleza […]
Mkurugenzi Mtendaji wa NDC awasilisha Miradi Mikubwa ya Maendeleo kwa Kamati ya Bunge Read More »










