NDC YASHIRIKI KATIKA KAMPENI YA AFYA CHECK

Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC) limeshiriki katika kampeni maalum ya Afya Check iliyofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam, kampeni ambayo imewakutanisha wananchi kutoka maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam kwa lengo la kupima afya zao pamoja na kupatiwa matibabu ya magonjwa bure. Akizungumza katika kampeni hiyo Mkurugenzi wa …

NDC YASHIRIKI KATIKA KAMPENI YA AFYA CHECK Read More »