CHUSA MINING WAMOTO

Kampuni ya Chusa Mining inaendelea na zoezi la uchorongaji wa miamba ya makaa ya mawe, kwenye mgodi wa Mchuchuma – Ludewa, Njombe. Katika hatua hiyo wanafanya utafiti wa kutambua miamba mbalimbali (lithological loggging). Mjiolojia wa Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC), Alfred Kawono (kushoto) akiwa na mtaalam wa kutoka kampuni ya Chusa Mining wakifanya lithological […]

CHUSA MINING WAMOTO Read More ยป