TaFF yaitembelea NDC kufanya tathmini ya Mradi wa upandaji miti ya mpira
Mapema leo hii 15/10/2025 NDC yapokea ugeni kutoka mfuko wa misitu Tanzania (TaFF ) ikiwa ni muendelezo wa ushirikiano wa taasisi hizo mbili, ugeni huo ulikuwa na lengo la kufanya tathmini ili kujua changamoto maoni na mapendekezo katika kutekeleza mradi wa kuendeleza shamba la miti ya mpira liliyopo Kalunga mkoani Morogoro Ushirikiano huo ulikuja baada […]
TaFF yaitembelea NDC kufanya tathmini ya Mradi wa upandaji miti ya mpira Read More »



