NDC, TEMDO KUENDELEZA USHIRIKIANO

Mkurugenzi Mwendeshaji wa Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC), Dkt. Nicolaus Shombe amefanya mazungumzo  na  Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Zana za Kilimo na Teknlojia Vijijini, (CAMARTEC), Mha. Pythias Ntela, kikao kilicho dhamiria kuongeza uzalishaji wa vipuri vya mashine pamoja na vyombo vya moto kupitia kiwanda cha KMTC kiwanda kilichopo mkoani Kilimanjaro. Mkurugenzi Mwendeshaji […]

NDC, TEMDO KUENDELEZA USHIRIKIANO Read More »