NYIKA AIBUKA MFANYAKAZI BORA NDC 2023

Ili kuongeza ufanisi wa kazi na kuongeza chachu ya utendaji, Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC) limekua likitambua mchango wa wafanyakazi waliofanya vizuri kwenye shughuli za kila siku za Shirika ambapo zoezi hilo uhusisha ushindani kuanzia ngazi  ya idara na hatimaye kupata Mfanyakazi Bora wa mwaka. Kwa mwaka 2023, Ndugu Mseli Nyika ameibuka kidedea kama […]

NYIKA AIBUKA MFANYAKAZI BORA NDC 2023 Read More »