WAZIRI JAFO AZITAKA HALMASHAURI NCHINI KUTOKOMEZA MALARIA

Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Selemani Jafo amezitaka halmashauri zote nchini kununua viuadudu vya kuangamiza mazalia ya mbu ili kuondokana na ugonjwa wa malaria nchini. Waziri Jafo ameyasema hayo wakati wa ziara yake ya kikazi kiwanda cha kuzalisha bidhaa za kibaiolojia cha Tanzania Biotech Products Limited (TBPL), kilichopo Kibaha mkoani Pwani. Ameeleza kuwa […]

WAZIRI JAFO AZITAKA HALMASHAURI NCHINI KUTOKOMEZA MALARIA Read More ยป