JAFO ZIARANI MRADI WA MAGADI SODA
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Selemani Jafo ametembelea Mradi wa Kimkakati wa Magadi Soda uliopo Engaruka, mkoani Arusha. Akiwa ziarani hapo, Waziri Jafo ameelezwa kuwa Magadi ni kemikali inayotumika viwandani kuzalisha vioo, sabuni, rangi, karatasi, kusafishia mafuta ya petroli, kusafishia madini, kutengenezea mbolea na kusafishia maji. Kwa hiyo, kwa kuvuna magadi hayo, Tanzania […]
JAFO ZIARANI MRADI WA MAGADI SODA Read More »