THIURISAVE – 24 YAZINDULIWA RASMI
THIURISAVE – 24 YAZINDULIWA RASMI Read More »
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Selemani Jafo ametembelea Mradi wa Kimkakati wa Magadi Soda uliopo Engaruka, mkoani Arusha. Akiwa ziarani hapo, Waziri Jafo ameelezwa kuwa Magadi ni kemikali inayotumika viwandani kuzalisha vioo, sabuni, rangi, karatasi, kusafishia mafuta ya petroli, kusafishia madini, kutengenezea mbolea na kusafishia maji. Kwa hiyo, kwa kuvuna magadi hayo, Tanzania
JAFO ZIARANI MRADI WA MAGADI SODA Read More »
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Selemani Jafo amefanya ziara ya kikazi Kiwanda cha kutengeneza vipuri na mashine na mitambo mbalimbali cha @kmtctanzania kinachomilikiwa na Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC) kilichopo Mkoani Kilimanjaro. Wafanyakazi wa KMTC wakiendela na shughuli za uzalishaji ndani ya kiwanda cha KMTC Akiwa kiwandani hapo, Mhe. Jafo amejionea
JAFO AKOSHWA NA SHUGHULI ZA KMTC Read More »
Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC) limeandika historia mpya kwa kusaini mkataba wa uwekezaji na kampuni ya Fujian Hexingwang, ambao unahusisha uchimbaji wa madini ya chuma. Uwekezaji huu wa kwanza wa aina yake unatarajiwa kufungua fursa mbalimbali za kiuchumi kwa wakazi wa Ludewa, mkoa wa Njombe, na kwa Taifa kwa ujumla. Mkataba huu umesainiwa mjini
NDC YAVUTIA UWEKEZAJI WA DOLA MILIONI 77.45 KATIKA MRADI WA CHUMA WA MAGANGA MATITU Read More »
Mradi wa kwanza wa kuzalisha chuma nchini na Afrika Mashariki wa Maganga Matitu unatarajiwa kuanza utekelezaji Januri 2025 na tayari mwekezaji amepatikana huku uwekezaji wake ukifikia dola milioni 77.4. Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC) Nicolaus Shombe alisema hayo Dares Salaam mbele ya Waziri wa Viwanda na Biashara alipotembelea shirika hilo kuzungumza
WAZIRI JAFO AIPONGEZA NDC KWA KAZI NZURI Read More »
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Selemani Jafo amezitaka halmashauri zote nchini kununua viuadudu vya kuangamiza mazalia ya mbu ili kuondokana na ugonjwa wa malaria nchini. Waziri Jafo ameyasema hayo wakati wa ziara yake ya kikazi kiwanda cha kuzalisha bidhaa za kibaiolojia cha Tanzania Biotech Products Limited (TBPL), kilichopo Kibaha mkoani Pwani. Ameeleza kuwa
WAZIRI JAFO AZITAKA HALMASHAURI NCHINI KUTOKOMEZA MALARIA Read More »
Ujumbe kutoka Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC), ukiongozwa na Kaimu Mkurugenzi wa Viwanda vya Kuongeza Thamani (DSV), Esther Mwaigomole umefanya mazungumzo ya kibiashara na Mwakilishi wa Balozi wa Uganda, Mwambata Jeshi, Brigedia. Ronald Bigirwa, mazungumzo yaliyolenga kuuza bidhaa za kibaiolojia za kuangamiza mazalia ya mbu na za kuangamiza wadudu dhurifu kwenye mazao. Kikao kilichofanyika
NDC KUISAIDIA UGANDA KUANGAMIZA MAZALIA YA MBU Read More »
HOTUBA YA MHESHIMIWA DKT. ASHATU K. KIJAJI (MB.), WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA AKIWASILISHA BUNGENI MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA KWA MWAKA 2024/2025 HOTUBA FUPI YA BAJETI – 2024-2025 – FINAL 21.05.2024 Read
Wawekezaji kutoka nchini China wakiongozwa na komrade Shen Dong, Mwenyekiti wa Chama cha Kikomunisti cha nchini humo kutoka wilaya ya Zhonglou wamevutiwa na fursa za uwekezaji zilizopo Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC) hasa kwenye sekta ya viwanda, madini na nishati na kuonesha nia ya kuja kuwekeza kwenye sekta hizo. Komrade Shen Dong amesema hali
TAARIFA KWA UMMA NDC YAWAVUTA WAWEKEZAJI KUTOKA CHINA KUWEKEZA NCHINI Read More »