WAZIRI KIJAJI ASHUHUDIA UTIAJI SAINI WA MIKATABA YA UCHIMBAJI MAKAA YA MAWE

WAZIRI wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji ameshuhudia utiaji saini wa Mikataba ya Uchimbaji wa Makaa ya Mawe kwa wachimbaji wazawa katika Mradi wa mchuchuma baina ya Serikali kupitia Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC) pamoja na Makampuni Matano ya wazawa yaliyoshinda zabuni hiyo, katika hafla ambayo imefanyika jijini Dar es Salaam. Akizungumza na […]

WAZIRI KIJAJI ASHUHUDIA UTIAJI SAINI WA MIKATABA YA UCHIMBAJI MAKAA YA MAWE Read More ยป