RAIS BUNGE LA CUBA AVUTIWA NA TBPL
Rais wa Bunge la Cuba, Mhe. Esterban Lazo Fernandiz amefurahishwa na kupongeza uwekezaji uliofanywa na Serikali ya Tanzania kwenye mapambano dhidi ya ugonjwa wa Malaria pamoja na kuongeza upatikanaji wa chakula kupitia uzalishaji wa viuatilifu hai visivyo na sumu. Ameyasema hayo alipofanya ziara ya kikazi ya siku moja kwenye kiwanda cha kuzalisha bidhaa za kibaiolojia, […]
RAIS BUNGE LA CUBA AVUTIWA NA TBPL Read More »