TAARIFA KWA UMMA NDC YAWAVUTA WAWEKEZAJI KUTOKA CHINA KUWEKEZA NCHINI
Wawekezaji kutoka nchini China wakiongozwa na komrade Shen Dong, Mwenyekiti wa Chama cha Kikomunisti cha nchini humo kutoka wilaya ya Zhonglou wamevutiwa na fursa za uwekezaji zilizopo Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC) hasa kwenye sekta ya viwanda, madini na nishati na kuonesha nia ya kuja kuwekeza kwenye sekta hizo. Komrade Shen Dong amesema hali […]
TAARIFA KWA UMMA NDC YAWAVUTA WAWEKEZAJI KUTOKA CHINA KUWEKEZA NCHINI Read More »