MENU

#afya #ndc #malaria #nationaldevelopmentcorporation

NDC YAVUTIA UWEKEZAJI WA DOLA MILIONI 77.45 KATIKA MRADI WA CHUMA WA MAGANGA MATITU

Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC) limeandika historia mpya kwa kusaini mkataba wa uwekezaji na kampuni ya Fujian Hexingwang, ambao unahusisha uchimbaji wa madini ya chuma. Uwekezaji huu wa kwanza wa aina yake unatarajiwa kufungua fursa mbalimbali za kiuchumi kwa wakazi wa Ludewa, mkoa wa Njombe, na kwa Taifa kwa ujumla. Mkataba huu umesainiwa mjini

NDC YAVUTIA UWEKEZAJI WA DOLA MILIONI 77.45 KATIKA MRADI WA CHUMA WA MAGANGA MATITU Read More »

KITILA MKUMBO AZINDUA ZOEZI LA ZOEZI LA KUANGAMIZA MBU JIMBO LA UBUNGO

Waziri wa Uwekezaji Mhe. Prof. Kitila Mkumbo amezindua rasmi zoezi la unyunyiziaji wa dawa za viuadudu vinavyozalishwa na kiwanda cha TBPL kilichoko Kibaha mkoani Pwani kwa ajili ya unyunyiziaji katika jimbo la uchaguzi la Ubungo ikiwa ni hatua ya kuunga mkono juhudi za serikali katika kupambana na magonjwa yaenezwayo na mbu ikiwemo Malaria, Kikungunya pamoja

KITILA MKUMBO AZINDUA ZOEZI LA ZOEZI LA KUANGAMIZA MBU JIMBO LA UBUNGO Read More »

UZALISHAJI WA BIDHAA ZA KIBAIOLOJIA KUONGEZEKA

Makamu wa Rais wa Cuba, Mhe. Salvador Valdes Mesa amesema Serikali ya Cuba itaendelea kutoa utaalam kwa kiwanda cha kuzalisha bidhaa za Kibaiolojia – Tanzania Biotech Products Limited (TBPL) cha Kibaha – Pwani, ili kizalishe bidhaa nyingi za kibaiolojia mbali na uzalishaji wa viuadudu vya kuangamiza mazalia ya mbu na viuatilifu vya kupambana na wadudu

UZALISHAJI WA BIDHAA ZA KIBAIOLOJIA KUONGEZEKA Read More »