#engaruka #madini #magadisoda #ndc #tanzania

NDC YAVUTIA UWEKEZAJI WA DOLA MILIONI 77.45 KATIKA MRADI WA CHUMA WA MAGANGA MATITU

Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC) limeandika historia mpya kwa kusaini mkataba wa uwekezaji na kampuni ya Fujian Hexingwang, ambao unahusisha uchimbaji wa madini ya chuma. Uwekezaji huu wa kwanza wa aina yake unatarajiwa kufungua fursa mbalimbali za kiuchumi kwa wakazi wa Ludewa, mkoa wa Njombe, na kwa Taifa kwa ujumla. Mkataba huu umesainiwa mjini […]

NDC YAVUTIA UWEKEZAJI WA DOLA MILIONI 77.45 KATIKA MRADI WA CHUMA WA MAGANGA MATITU Read More »

TAARIFA KWA UMMA NDC YAWAVUTA WAWEKEZAJI KUTOKA CHINA KUWEKEZA NCHINI

Wawekezaji kutoka nchini China wakiongozwa na komrade Shen Dong, Mwenyekiti wa Chama cha Kikomunisti cha nchini humo kutoka wilaya ya Zhonglou wamevutiwa na fursa za uwekezaji zilizopo Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC) hasa kwenye sekta ya viwanda, madini na nishati na kuonesha nia ya kuja kuwekeza kwenye sekta hizo. Komrade Shen Dong amesema hali

TAARIFA KWA UMMA NDC YAWAVUTA WAWEKEZAJI KUTOKA CHINA KUWEKEZA NCHINI Read More »

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YAKOSHWA NA KIWANDA CHA KUTENGENEZA VIPURI KMTC- MOSHI

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo, Mifugo na Uvuvi ikiongozwa na Mwenyekiti wa kamati hiyo Mbunge wa Njombe mjini, Mhe. Deo Mwanyika wamepongeza jitihada zinazofanywa na Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC) katika kuhakikisha kuwa kiwanda cha KMTC kinaboreshwa na kuendelea na uzalishaji wa vipuri pamoja na mashine mbalimbali kama ilivyokusudiwa wakati

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YAKOSHWA NA KIWANDA CHA KUTENGENEZA VIPURI KMTC- MOSHI Read More »

SERIKALI KUIKWAMUA MIRADI YA KIMKAKATI YA NDC

Serikali imebainisha kuwa inaendelea na jitihada mbalimbali za kuhakikisha kuwa miradi ya kimkakati iliyopo chini ya Shirika la Taifa la Maendeleo nchini (NDC) inakwamuliwa kwa manufaa ya nchi pamoja na Taifa kiujumla. Haya yamebainishwa na Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt.Hashil Abdallah katika kikao maalum baina yake na Katibu Mkuu Wizara ya Madini,pamoja

SERIKALI KUIKWAMUA MIRADI YA KIMKAKATI YA NDC Read More »