WAZIRI JAFO AUTAKA UMMA KUPUUZA TAARIFA ZA UPOTOSHAJI ZINAZOENEZWA KUHUSIANA NA UTEKELEZAJI WA MRADI WA KIMKAKATI WA MAGADI SODA, ENGARUKA
Waziri wa viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo ameutaka umma wa Watanzania kupuuzia taarifa zenye lengo la kupotosha ambazo zinaenezwa na watu wenye nia ovu juu ya utekelezaji wa mradi wa kimkakati wa magadi soda ulioko Engaruka Mkoani Arusha. Waziri Jafo ameyasema haya wakati akizindua rasmi zoezi la ulipaji fidia kwa wananchi 592 ambao wanatarajia […]