RAIS WA LABIOFAM YA CUBA KIWANDANI TBPL
Kiwanda pekee barani Afrika cha kuzalisha viuadudu vya kuangamiza mazalia ya mbu, Tanzania Biotech Products Limited (TBPL), kimetembelewa na Rais wa Labiofam kutoka Cuba, Rodi Valdes Ortiz ikiwa ni ziara ya kujionea utendaji kazi wa kiwanda hicho kilichopo Kibaha, mkoani Pwani. Akiwa kiwandani hapo amefanya mazungumzo na Menejimenti ya TBPL pamoja na watendaji wa NDC […]
RAIS WA LABIOFAM YA CUBA KIWANDANI TBPL Read More »