Innocent

NDC NA SADC-DFRC KUJENGA USHIRIKIANO

Mkurugenzi Mwendeshaji wa Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC), Dkt. Nicolaus Shombe,  amefanya mazungumzo na Bw. Stuart Kufen, Mkurugenzi Mtendaji wa SADC Development Finance Resources Centre (SADC-DFRC), jijini Dar es Salaam kujadili ushirikiano wa kimkakati baina ya NDC na SADC-DFRC katika nyanja ya uandaaji wa miradi na kuongeza ujuzi. Kikao hicho pia kiliudhuriwa na Mkurugenzi

NDC NA SADC-DFRC KUJENGA USHIRIKIANO Read More »

NDC, TEMDO KUENDELEZA USHIRIKIANO

Mkurugenzi Mwendeshaji wa Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC), Dkt. Nicolaus Shombe amefanya mazungumzo  na  Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Zana za Kilimo na Teknlojia Vijijini, (CAMARTEC), Mha. Pythias Ntela, kikao kilicho dhamiria kuongeza uzalishaji wa vipuri vya mashine pamoja na vyombo vya moto kupitia kiwanda cha KMTC kiwanda kilichopo mkoani Kilimanjaro. Mkurugenzi Mwendeshaji

NDC, TEMDO KUENDELEZA USHIRIKIANO Read More »