MENU

Habari

SERIKALI KUIKWAMUA MIRADI YA KIMKAKATI YA NDC

Serikali imebainisha kuwa inaendelea na jitihada mbalimbali za kuhakikisha kuwa miradi ya kimkakati iliyopo chini ya Shirika la Taifa la Maendeleo nchini (NDC) inakwamuliwa kwa manufaa ya nchi pamoja na Taifa kiujumla. Haya yamebainishwa na Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt.Hashil Abdallah katika kikao maalum baina yake na Katibu Mkuu Wizara ya Madini,pamoja […]

SERIKALI KUIKWAMUA MIRADI YA KIMKAKATI YA NDC Read More »

CHUSA MINING WAMOTO

Kampuni ya Chusa Mining inaendelea na zoezi la uchorongaji wa miamba ya makaa ya mawe, kwenye mgodi wa Mchuchuma – Ludewa, Njombe. Katika hatua hiyo wanafanya utafiti wa kutambua miamba mbalimbali (lithological loggging). Mjiolojia wa Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC), Alfred Kawono (kushoto) akiwa na mtaalam wa kutoka kampuni ya Chusa Mining wakifanya lithological

CHUSA MINING WAMOTO Read More »

NDC IZALISHE VIUATILIFU VYA VYA KUTOSHA MSIMU WA KILIMO

Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji amekitaka kiwanda Cha Viuatilifu vya kuua mazalia ya Mbu (TBPL) kilichopo Kibaha Mkoani Pwani kuzalisha bidhaa za Viuatilifu hai kwa ajili ya Msimu huu wa Kilimo kuanzia mwezi Oktoba Mwaka huu. Dkt. Kijaji ametoa maelekezo hayo Septemba 21, 2023 wakati akizungumza na Uongozi, Watumishi na Waandishi wa

NDC IZALISHE VIUATILIFU VYA VYA KUTOSHA MSIMU WA KILIMO Read More »

WAZIRI KIJAJI ASHUHUDIA UTIAJI SAINI WA MIKATABA YA UCHIMBAJI MAKAA YA MAWE

WAZIRI wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji ameshuhudia utiaji saini wa Mikataba ya Uchimbaji wa Makaa ya Mawe kwa wachimbaji wazawa katika Mradi wa mchuchuma baina ya Serikali kupitia Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC) pamoja na Makampuni Matano ya wazawa yaliyoshinda zabuni hiyo, katika hafla ambayo imefanyika jijini Dar es Salaam. Akizungumza na

WAZIRI KIJAJI ASHUHUDIA UTIAJI SAINI WA MIKATABA YA UCHIMBAJI MAKAA YA MAWE Read More »

ORBIT SECURITIES COMPANY ENGAGES NDC IN DIVERSE OPPORTUNITIES

In a promising development for the Tanzanian business landscape, representatives from Orbit Security paid a courtesy call to Dr. Nicolaus Shombe, Managing Director of the National Development Corporation (NDC). The meeting, held at the NDC headquarters in Dar es Salaam, was characterized by a spirited discussion on various opportunities, including the possibility of the Kilimanjaro

ORBIT SECURITIES COMPANY ENGAGES NDC IN DIVERSE OPPORTUNITIES Read More »

NDC NA SADC-DFRC KUJENGA USHIRIKIANO

Mkurugenzi Mwendeshaji wa Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC), Dkt. Nicolaus Shombe,  amefanya mazungumzo na Bw. Stuart Kufen, Mkurugenzi Mtendaji wa SADC Development Finance Resources Centre (SADC-DFRC), jijini Dar es Salaam kujadili ushirikiano wa kimkakati baina ya NDC na SADC-DFRC katika nyanja ya uandaaji wa miradi na kuongeza ujuzi. Kikao hicho pia kiliudhuriwa na Mkurugenzi

NDC NA SADC-DFRC KUJENGA USHIRIKIANO Read More »

NDC YASHIRIKI KATIKA KAMPENI YA AFYA CHECK

Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC) limeshiriki katika kampeni maalum ya Afya Check iliyofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam, kampeni ambayo imewakutanisha wananchi kutoka maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam kwa lengo la kupima afya zao pamoja na kupatiwa matibabu ya magonjwa bure. Akizungumza katika kampeni hiyo Mkurugenzi wa

NDC YASHIRIKI KATIKA KAMPENI YA AFYA CHECK Read More »