KITILA MKUMBO AZINDUA ZOEZI LA ZOEZI LA KUANGAMIZA MBU JIMBO LA UBUNGO
Waziri wa Uwekezaji Mhe. Prof. Kitila Mkumbo amezindua rasmi zoezi la unyunyiziaji wa dawa za viuadudu vinavyozalishwa na kiwanda cha TBPL kilichoko Kibaha mkoani Pwani kwa ajili ya unyunyiziaji katika jimbo la uchaguzi la Ubungo ikiwa ni hatua ya kuunga mkono juhudi za serikali katika kupambana na magonjwa yaenezwayo na mbu ikiwemo Malaria, Kikungunya pamoja […]
KITILA MKUMBO AZINDUA ZOEZI LA ZOEZI LA KUANGAMIZA MBU JIMBO LA UBUNGO Read More »