NAIBU KATIBU MKUU VIWANDA AFANYA ZIARA KIWANDA CHA TBPL
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara, Dkt. Suleiman Serera amefanya ziara ya kikazi kwenye kiwanda cha kuzalisha bidhaa za kibaiolojia – Tanzania Biotech Products Limited (TBPL), kilichopo Kibaha mkoani Pwani. Wakati wa ziara yake hiyo, Dkt. Serera amepokelewa na mwenyeji wake Dkt. Nicolaus Shombe, Mkurugenzi Mwendeshaji wa Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC), […]
NAIBU KATIBU MKUU VIWANDA AFANYA ZIARA KIWANDA CHA TBPL Read More »