TAARIFA YA MKURUGENZI MWENDESHAJI WA SHIRIKA LA TAIFA LA MAENDELEO (NDC) DKT. NICOLAUS SHOMBE AKIZUNGUMZA NA KUHUSU UTEKELEZAJI NA VIPAUMBELE VYA SHIRIKA KWA MWAKA 2023/2024
Ndugu Waandishi wa Habari, 1.1 Awali ya yote napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema kwa kutujalia uzima na kutukutanisha leo hii tukiwa buheri wa afya. Nawashukuru sana pia Wanahabari wote kwa kuitikia mwito kuu. Kwa Serikali na sisi wana NDC tunaamini kuwa ninyi ni wadau muhimu sana kwani kupitia kwenu, taarifa mbalimbali zinazohusu Nchi […]