Habari

NDC NA SADC-DFRC KUJENGA USHIRIKIANO

Mkurugenzi Mwendeshaji wa Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC), Dkt. Nicolaus Shombe,  amefanya mazungumzo na Bw. Stuart Kufen, Mkurugenzi Mtendaji wa SADC Development Finance Resources Centre (SADC-DFRC), jijini Dar es Salaam kujadili ushirikiano wa kimkakati baina ya NDC na SADC-DFRC katika nyanja ya uandaaji wa miradi na kuongeza ujuzi. Kikao hicho pia kiliudhuriwa na Mkurugenzi

NDC NA SADC-DFRC KUJENGA USHIRIKIANO Read More »

NDC, TEMDO KUENDELEZA USHIRIKIANO

Mkurugenzi Mwendeshaji wa Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC), Dkt. Nicolaus Shombe amefanya mazungumzo  na  Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Zana za Kilimo na Teknlojia Vijijini, (CAMARTEC), Mha. Pythias Ntela, kikao kilicho dhamiria kuongeza uzalishaji wa vipuri vya mashine pamoja na vyombo vya moto kupitia kiwanda cha KMTC kiwanda kilichopo mkoani Kilimanjaro. Mkurugenzi Mwendeshaji

NDC, TEMDO KUENDELEZA USHIRIKIANO Read More »

NDC Meets ABSA Discusses Investment Opportunities

In a significant move towards strengthening economic ties and exploring investment opportunities, ABSA’s Managing Director, Mr. Obeid Laizer, visited the headquarters of the National Development Corporation (NDC) today. The meeting was held with Dr. Nicolaus Shombe, the Managing Director of NDC, to discuss potential areas of collaboration and investment. The meeting was aimed at fostering

NDC Meets ABSA Discusses Investment Opportunities Read More »

MAFANIKO YA NDC CHINI YA SERIKALI YA AWAMU YA SITA.

Kwa miaka mingi, NDC imekuwa ikitekeleza majukumu mbalimbali muhimu katika maendeleo ya kiuchumi ya nchi. Chini ya uongozi wa Rais Mhe Dk Samia Suluhu Hassan, NDC imeendelea kutekeleza majukumu muhimu katika maendeleo ya kiuchumi ya Tanzania, ikilenga hasa kwenye ujenzi wa viwanda, utengenezaji wa ajira na kuvutia uwekezaji wa kigeni. NDC inatekeleza haya ikiwa ni

MAFANIKO YA NDC CHINI YA SERIKALI YA AWAMU YA SITA. Read More »