Jacob Maganga

NDC, TEMDO KUENDELEZA USHIRIKIANO

Mkurugenzi Mwendeshaji wa Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC), Dkt. Nicolaus Shombe amefanya mazungumzo  na  Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Zana za Kilimo na Teknlojia Vijijini, (CAMARTEC), Mha. Pythias Ntela, kikao kilicho dhamiria kuongeza uzalishaji wa vipuri vya mashine pamoja na vyombo vya moto kupitia kiwanda cha KMTC kiwanda kilichopo mkoani Kilimanjaro. Mkurugenzi Mwendeshaji […]

NDC, TEMDO KUENDELEZA USHIRIKIANO Read More »

LIGANGA, MCHUCHUMA MAMBO MSWANO

Rais  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan amewahakikishia Watanzania  kuanza  kwa utekelezaji wa miradi mikubwa wa Liganga na Mchuchuma Wilayani Ludewa Mkoani Njombe baada ya kuanza ulipaji fidia kwa wananchi. Akizungumza kwa njia ya simu na wananchi wakati wa hafla ya uzinduzi wa zoezi la ulipaji fidia kwa wananchi waliopisha maeneo yenye

LIGANGA, MCHUCHUMA MAMBO MSWANO Read More »