Habari

WAZIRI KIJAJI ASHUHUDIA UTIAJI SAINI WA MIKATABA YA UCHIMBAJI MAKAA YA MAWE

WAZIRI wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji ameshuhudia utiaji saini wa Mikataba ya Uchimbaji wa Makaa ya Mawe kwa wachimbaji wazawa katika Mradi wa mchuchuma baina ya Serikali kupitia Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC) pamoja na Makampuni Matano ya wazawa yaliyoshinda zabuni hiyo, katika hafla ambayo imefanyika jijini Dar es Salaam. Akizungumza na […]

WAZIRI KIJAJI ASHUHUDIA UTIAJI SAINI WA MIKATABA YA UCHIMBAJI MAKAA YA MAWE Read More »

ORBIT SECURITIES COMPANY ENGAGES NDC IN DIVERSE OPPORTUNITIES

In a promising development for the Tanzanian business landscape, representatives from Orbit Security paid a courtesy call to Dr. Nicolaus Shombe, Managing Director of the National Development Corporation (NDC). The meeting, held at the NDC headquarters in Dar es Salaam, was characterized by a spirited discussion on various opportunities, including the possibility of the Kilimanjaro

ORBIT SECURITIES COMPANY ENGAGES NDC IN DIVERSE OPPORTUNITIES Read More »

NDC NA SADC-DFRC KUJENGA USHIRIKIANO

Mkurugenzi Mwendeshaji wa Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC), Dkt. Nicolaus Shombe,  amefanya mazungumzo na Bw. Stuart Kufen, Mkurugenzi Mtendaji wa SADC Development Finance Resources Centre (SADC-DFRC), jijini Dar es Salaam kujadili ushirikiano wa kimkakati baina ya NDC na SADC-DFRC katika nyanja ya uandaaji wa miradi na kuongeza ujuzi. Kikao hicho pia kiliudhuriwa na Mkurugenzi

NDC NA SADC-DFRC KUJENGA USHIRIKIANO Read More »

NDC, TEMDO KUENDELEZA USHIRIKIANO

Mkurugenzi Mwendeshaji wa Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC), Dkt. Nicolaus Shombe amefanya mazungumzo  na  Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Zana za Kilimo na Teknlojia Vijijini, (CAMARTEC), Mha. Pythias Ntela, kikao kilicho dhamiria kuongeza uzalishaji wa vipuri vya mashine pamoja na vyombo vya moto kupitia kiwanda cha KMTC kiwanda kilichopo mkoani Kilimanjaro. Mkurugenzi Mwendeshaji

NDC, TEMDO KUENDELEZA USHIRIKIANO Read More »