Habari

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YAKOSHWA NA KIWANDA CHA KUTENGENEZA VIPURI KMTC- MOSHI

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo, Mifugo na Uvuvi ikiongozwa na Mwenyekiti wa kamati hiyo Mbunge wa Njombe mjini, Mhe. Deo Mwanyika wamepongeza jitihada zinazofanywa na Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC) katika kuhakikisha kuwa kiwanda cha KMTC kinaboreshwa na kuendelea na uzalishaji wa vipuri pamoja na mashine mbalimbali kama ilivyokusudiwa wakati […]

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YAKOSHWA NA KIWANDA CHA KUTENGENEZA VIPURI KMTC- MOSHI Read More »

AFRICAN ASSAY LABORATORIES (T) LTD PAYS A COURTESY CALL TO NDC

Tanzania’s government investment wing, the National Development Corporation (NDC), held a meeting with African Assay Laboratories Ltd. in Dar es Salaam to discuss potential investment opportunities. The meeting was hosted by Dr. Nicolaus Shombe, NDC Managing Director, who unified a long-standing business partnership between NDC and African Assay Laboratories Ltd. The meeting focused on fostering

AFRICAN ASSAY LABORATORIES (T) LTD PAYS A COURTESY CALL TO NDC Read More »

UZALISHAJI WA BIDHAA ZA KIBAIOLOJIA KUONGEZEKA

Makamu wa Rais wa Cuba, Mhe. Salvador Valdes Mesa amesema Serikali ya Cuba itaendelea kutoa utaalam kwa kiwanda cha kuzalisha bidhaa za Kibaiolojia – Tanzania Biotech Products Limited (TBPL) cha Kibaha – Pwani, ili kizalishe bidhaa nyingi za kibaiolojia mbali na uzalishaji wa viuadudu vya kuangamiza mazalia ya mbu na viuatilifu vya kupambana na wadudu

UZALISHAJI WA BIDHAA ZA KIBAIOLOJIA KUONGEZEKA Read More »

MRADI WA MAGADI SODA KUWEKA HISTORIA MPYA

Serikali imewataka Viongozi wa Taasisi zinazohusika na Mradi wa Kimkakati wa Magadi Soda uliopo Engaruka Wilayani Monduli Mkoani Arusha kushirikiana kwa karibu katika kukamilisha taratibu zote zinazohitajika ili Mradi huo unaotarajiwa kuongeza ajira, malighafi za viwandani, kukuza biashara na uchumi wa Taifa uanze kutekelezwa kwa wakati. Hayo yamesemwa  Desemba, 21,2023 na Katibu Mkuu wa Wizara

MRADI WA MAGADI SODA KUWEKA HISTORIA MPYA Read More »

SERIKALI KUIKWAMUA MIRADI YA KIMKAKATI YA NDC

Serikali imebainisha kuwa inaendelea na jitihada mbalimbali za kuhakikisha kuwa miradi ya kimkakati iliyopo chini ya Shirika la Taifa la Maendeleo nchini (NDC) inakwamuliwa kwa manufaa ya nchi pamoja na Taifa kiujumla. Haya yamebainishwa na Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt.Hashil Abdallah katika kikao maalum baina yake na Katibu Mkuu Wizara ya Madini,pamoja

SERIKALI KUIKWAMUA MIRADI YA KIMKAKATI YA NDC Read More »

CHUSA MINING WAMOTO

Kampuni ya Chusa Mining inaendelea na zoezi la uchorongaji wa miamba ya makaa ya mawe, kwenye mgodi wa Mchuchuma – Ludewa, Njombe. Katika hatua hiyo wanafanya utafiti wa kutambua miamba mbalimbali (lithological loggging). Mjiolojia wa Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC), Alfred Kawono (kushoto) akiwa na mtaalam wa kutoka kampuni ya Chusa Mining wakifanya lithological

CHUSA MINING WAMOTO Read More »

NDC IZALISHE VIUATILIFU VYA VYA KUTOSHA MSIMU WA KILIMO

Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji amekitaka kiwanda Cha Viuatilifu vya kuua mazalia ya Mbu (TBPL) kilichopo Kibaha Mkoani Pwani kuzalisha bidhaa za Viuatilifu hai kwa ajili ya Msimu huu wa Kilimo kuanzia mwezi Oktoba Mwaka huu. Dkt. Kijaji ametoa maelekezo hayo Septemba 21, 2023 wakati akizungumza na Uongozi, Watumishi na Waandishi wa

NDC IZALISHE VIUATILIFU VYA VYA KUTOSHA MSIMU WA KILIMO Read More »

WAZIRI KIJAJI ASHUHUDIA UTIAJI SAINI WA MIKATABA YA UCHIMBAJI MAKAA YA MAWE

WAZIRI wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji ameshuhudia utiaji saini wa Mikataba ya Uchimbaji wa Makaa ya Mawe kwa wachimbaji wazawa katika Mradi wa mchuchuma baina ya Serikali kupitia Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC) pamoja na Makampuni Matano ya wazawa yaliyoshinda zabuni hiyo, katika hafla ambayo imefanyika jijini Dar es Salaam. Akizungumza na

WAZIRI KIJAJI ASHUHUDIA UTIAJI SAINI WA MIKATABA YA UCHIMBAJI MAKAA YA MAWE Read More »